Achali / Pickles
December 19th, 2007
This is not your regular pickle recipe, but is good enough to satisfy those sudden cravings.
Every country has different recipes for pickles. Majority of those who prepare pickles in Tanzania, prefer to add hot peppers; In Tanzania, pickles must be places in direct sunlight for a week or two before serving, but this is not your regular pickle recipe, because you need only few hours. The best part is, no boiling, no hassles of caring the bottle in an out to the sun for weeks. This is a simple recipe to enjoy with your beer or cocktail. Actually, it is a good vegetable snack.
Karibu
Kila nchi ina mapishi yake ya kutengeneza achali. Watu wengi wanaotengeneza achali Tanzania wanapenda kutumia pilipili. Lazima achali iwekwe nje kwenye jua kwa muda wa wiki moja au mbili kabla haijatumika, lakini haya si mapishi ya kawaida kwa sababu unahitaji masaa machache tu. Kitu cha maana ni kwamba, hakuna kupika, ama shida za kubeba chupa ndani na nje kwenye jua kwa muda wa wiki chache. Haya ni maandalizi marahisi kwa ajili ya beer au kokteli. Pia ni kitafunio kizuri sana cha aina ya mboga.
Karibu
Carrots
- 140g /5 0z Peeled carrots
- 1/3 cup Vinegar / lime juice
- 1/3 cup Water
- 1 tsp Salt
- 1 tsp Chopped habanera pepper
Cucumber
- 140g /50z Peeled cucumber
- 1/3 cup Vinegar / Lime juice
- 1/3 cup Water
- 1 tsp Salt
- 1 tsp Chopped habanera pepper
- Cut cucumbers and carrots about four inches long
- Arrange the vegetables flat in separate containers.
- Add the remaining ingredients in each container.
- Cover and let stand for 3 hours.
- Remove the liquids and serve.
Good for cocktail and beer.
SWAHILI
Karoti
- Gramu 140 Karoti zilizo menywa
- Kikombe 1/3 Siki / maji ya ndimu
- Kikombe 1/3 Maji
- Kijiko cha chai 1 Chumvi
- Kijiko cha chai 1 Pilipili mbuzi zilizo katwa katwa
Matango
- Gramu 140 Matango yaliyo menywa
- Kikombe 1/3 Siki / maji ya ndimu
- Kikombe 1/3 Maji
- Kijiko cha chai 1 Chumvi
- Kijiko cha chai 1 Pilipili mbuzi zilizo katwa katwa
- Kata matango na karoti kama urefu wa inchi nne.
- Panga hizo mboga vizuri kwenye bakuli mbali mbali.
- Ongeza viungo vilivyobakia kwenye kila bakuli.
- Funika acha viungo vikolee kwa muda wa masaa matatu.
- Toa maji, weka mezani.
Ni kitafunia kizuri cha kokteli
Entry Filed under: Vitafunio / Snacks, Health, Vegetables/mboga, Achali/Pickels
12 Comments Add your own
1. nana | December 20th, 2007 at 2:17 am
This is good
2. Miriam | January 15th, 2008 at 3:49 am
Thank you Nana
Miriam
3. luihamu | February 6th, 2008 at 4:47 am
Miriam hii JUMUWATA VIPI?UNAHABARI YOYOTE?
RESPECT.
4. joyce | March 4th, 2008 at 1:05 pm
mbona hii site haiendelei yaani haina mpya mambo tangu 2007
au busy?
5. Simon Kitururu | March 7th, 2008 at 11:31 am
Asante sana kwa hii Da Miriam!
6. Miriam | March 24th, 2008 at 11:08 am
Joyce,
Narudi hivi karibuni, nitakueleza kwa nini nilipotea.
Simon,
Nashukuru umependa mapishi haya, nitakuletea nyingine rahisi basi. Karibu tena, nawe umepotea.
7. LUIHAMU | March 31st, 2008 at 1:51 pm
Da Mariam nahitaji msaada wa chakula.
Siku za karibuni mwili unafumuka sana,nanenepa na sitaki wala sipendi kunenepa.Nimejaribu kukaa bila kula lakini wapi,sasa naomba menu yakunisaidia au kupunguza unene.
kwa sasa nakula mlo mmoja kwa siku na jioni nakunywa tu maziwa ya mgando,asubuhi napiga deshi.
8. luihamu | April 4th, 2008 at 5:12 am
Da Mariam,kama mmoja wa wadau wa JUMUWATA wengi wangependa kupata taarifa fupi ya maendeleo ya JUMUWATA.
AMANI.
9. Miriam | April 4th, 2008 at 1:08 pm
Luihamu,
Unene unaotokana na umri ni kitu cha kawaida, lakini unaweza kupunguza na kuongeza afya kwa kufanya mazoezi. Kwa sababu mambo ya kupunguza mwili sio utaalamu wangu, ningekushauri kwanza umuone doctor. Tanzania siku hizi madoctor wa haina hii wanaongezeka sana kama navyosikia. Upimwe kwanza ,halafu atakushauri ule nini, na mazoezi ya aina gani ufanye. Sio viizuri kuanza kufanya mazoezi bila kujua kama mwili wako unaweza kukubali.
Kuhusu JUMUWATA,
Hii ni aibu sana sana kwa Watanzania wote waliojishughulisha. Viongozi waliochaguliwa inaonyesha walikuwa hawana nia ya kufanya shughuli yoyote kuendeleza JUMUWATA. Nimejaribu kufatilia lakini nilibanwa na mambo binafsi. Wote tunajiuliiza lakini hakuna majibu, walio na majibu ni Viongozi watatu waliochaguliwa.
10. luihamu | April 9th, 2008 at 3:18 pm
Da Mariama,
napatikana hapa http://rundugai.blogspot.com/
Karibu.
11. Ba'Sablati | August 18th, 2008 at 1:05 pm
Kwanza namshukuru Mola kwa kuniwezesha kuiona Blog hii,pili Mirie endelea na yote unajitahidi mungu atakusaidia. kuhusu suala la kuondokewa na Daddy ole sana ndio kibinadamu. Bye
12. Miriam | August 19th, 2008 at 4:04 am
Asante sana BaSablati
Leave a Comment
Some HTML allowed:
<a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <code> <em> <i> <strike> <strong>
Subscribe to the comments via RSS Feed