Natural Tamarind Concentrate

ENGLISH
I promised to suggest a few products that I believe are good for Tanzanian recipes while abroad. Natural Tamarind Concentrate a Laxmi Brand. Natural tamarind concentrate taste like real tamarind. No chemicals, sugar or salt added which makes it good for Juices, and for cooking. I buy this at a nature store; you can ask a store near you to order for you, or visit www.hosindia.com. I have never had any contact with them so please if you are not satisfied with the product do not complain to me, I am suggesting what I prefer for my recipes.
House of Spices (India) Inc.
http://www.hosindia.com
SWAHILI
Anuani hii hapo juu ni anwani ya wanaoweza kukutumia Natural Tamarind Concentrate inayotengenezwa na Laxmi Brand.
Niliahidi kuongelea vitu vichache ambavyo ni vizuri kutumia kwenye mapishi ya Tanzania ukiwa nje. Natural Tamarind Concentrate inatengenezwa na Laxmi Brand, ina utamu wa ukwaju uliotoka mtini. Hawakuongeza kemikali, sukari au chumvi kwa hiyo ni mzuri kwa Kutengeneza juice na kupikia. Unaweza kuomba duka lolote wakuletee au tembelea www.hosindia.com. Lakini kama hautaipenda tafathali usinilalamikie, mimi sina uhusiano na Kampuni hii, nataka tu kuwaarifu viungo ninavyotumia katika mapishi yangu.
6 comments November 6th, 2006